Recent Posts

Unaweza kusoma Blogu moja ya hapa nyumbani kusumarise blogu zote kwasababu wengi wetu tunacopy na kupaste habari.

Naendelea kumsikiliza Bob(rate race) kwasababu nimeshapitia blogu moja tu na kujua yaliyomo katika blogu zingine.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, May 2, 2012

2 comments

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. Mara nyingi unaweza ukafikiri ni hivyo...pamoja daima!!

     
  3. Da,Yasinta sio kufikiri tu,pia utafiti.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo