Recent Posts

Kama ningekuwa KONDKTA,ningetoa nafasi kubwa kwa wanafunzi kupanda mida ya asubuhi ili waweze kuwahi shule.

Kama ningekuwa KONDKTA,ningekuwa la lugha nzuri kwa wateja wangu ndani ya daladala.

Kama ningekuwa KONDKTA,ningekuwa msafi kila siku.

Kama ningekuwa KONDKTA,ningewashushua wazi wazi vibaka ndani ya daladala.

Kama ningekuwa KONDKTA,,,,,,.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, June 6, 2012

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo