Na Socrates ,mwanafalsafa wa Uyunani ya kale alipata kuonekana akimulika KURUNZI mchana wa jua kali.Inaandikwa kuwa Socrates yule alizunguka sokoni na kurunzi yenye kumulika.Watu walimwuliza,kulikoni?
Socrates akawajibu;
''Kwenye NURU HII,KUNA WALIO GIZANI.''
Tuesday, June 19, 2012
0 comments