Recent Posts


Tukio hili nalikumbuka,nakumbuka siku ya ubarikio wangu,Moshi, Sango.Hapa Mzee, Profesa Winnyston Njelekiro Ringo ananikabidhi zawadi ya BIBILIA.

R.I.P Profesa W.Ringo.

Posted by nyahbingi worrior. Tuesday, July 3, 2012

2 comments

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. Ni zawadi nzuri sana katika maisha. Tuzidi kumwombea kwani kiroho yupo nawe ,,,,pumzika kwa amani.

     
  3. Anonymous anasema:
  4. Mwafanana kweli... mzazi mtu mhimu

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo