Recent Posts

Mhariri anapo hariri makala basi hujitahidi ili msomaji apate ladha au hamu ya kusoma makala hiyo.

Mwanablogu anapo blogu katika gazeti tando basi hujitahidi kuweka vivutio kama vile kichwa cha habari au picha.

Nimekutana na hii tabia mara kadha wa kadha.Wengi wetu hukimbilia kusoma picha badala ya makala zinazoelimisha na kuboresha bongo zetu.

Swali jiulize wewe msomaji.
kwanini blogu zilizosheheni makala hazisomwi na wasomaji?
kwanini blogu zilizosheheni picha kama bango la matangazo hukimbiliwa na watu wengi?

Posted by nyahbingi worrior. Friday, September 25, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo