Recent Posts

Wavumbuzi ni watu waajabu sana.Mvumbuzi atavumbua kitu kutokana na hali ya mazingira ya nchi hiyo.Hapa nyumbani kwetu,hivi vijinguo ambavyo dada zangu wanakimbilia kuvaa wanajuwa umuhimu wake?
Bado najiuliza G-STRING na mkesha wapi na wapi?Rejelea DIS BLOG.

Posted by nyahbingi worrior. Sunday, September 20, 2009

3 comments

 1. SIMON KITURURU anasema:
 2. Kaaazi kweli kweli!
  Binadamu matatizo mengine tunajitafutia wenyewe bila sababu na moja ni hizi nguo!:-(

   
 3. Yasinta Ngonyani anasema:
 4. Nimepita kukusalimia! kazi ipo kwa kweli!!!

   
 5. Mzee Simon kazi ipo na sio ndogo.

  Dada Yasinta Ngonyani karibu sana.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo