Recent Posts

nilizoe kuambiwa yakwamba atashuka juu mawinguni na kuchukuwa watoto wake watiifu tu.Swali kuna mzazi asiyempenda mtoto wake kweli?walitaka tuwe watiifu ili watutawale,walitukuta na imani zetu,imani ya mababu zetu wakaona imani yetu ilivo na nguvu.

wakawakusanya kaka,dada zetu,
wakawakusanya wazazi wetu,
wakawatesa huku na kitabu chao mkononi,
kitabu waaminio wataa paa kwenda mawinguni.

Leo nasikitika kuona jinsi gani vijana wanakimbilia huko huko,
huko waliko watesa mambabu zetu,
kwa kulima mashamba ya marefu.

nasikitika kuona jinsi gani vijana wanabebwa na utumwa mambo leo,
haki hawa wanahitaji mwanga wa tochi ingali ni mchana.

nawasii mrudi nyumbani,
nchii ya ahadi ya wasubiri,
mbegu zenu zasubiriwa katika nchi hiyo ya ahadi.

nchii hii ni ITIOPIA
SHASHAMANE.

Posted by nyahbingi worrior. Sunday, September 20, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo