Recent Posts

nimetoneshwa kidonda tena kwani kilishapona.Kidonda cha kwanza nilikipata miaka ya 1997-2003,niliuuguwa sana,kidonda kilininyima raha lakini baada ya muda nilipata nafuu na kupona.Niliapa ingawa ni kosa sito penda tena,sito kuwa karibu na mwanamke yeyote yule.Nimekaa miaka kama 7 bila kuwa na mahusiano na mwanamke yeyote yule hadi majunzi kama mienzi miine iliyopita.

Nampenda huyu dada lakini kinacho niumiza ni hizi FEELINGS zangu kwake zimegeuka kuniumiza mimi.Labda mapungufu yangu yamemsukumia kuamuwa iwe hivi.Nimekosa wapi?Nifanye nini?

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, October 3, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo