Recent Posts

capoiera ni ngoma,ngoma ya ujasiri na ukombozi wa mtu mweusi.Kwa mtazamo wa Nyahbingi Worrior,bongo fleva ni aina ya kelele isiyo na ujumbe wowote.Kati ya waalimu wa Nabii Robert Nesta Marley aliwahi kusema na kumwambia Nabii BOB acha kuimba mapenzi,sikia vilio vya watu wako ambao hadi leo hii bado hawajaamuwa au hawataki kupanda meli ya THE BLACK STAR LINER.

Capoiera ni ngoma iliyotumika sana na watumwa katika azma yao ya kujikomboa.Wakati wakoli wakicheza ngoma za celion dion basi binadamu wa kwanza mtu mweusi alikuwa akicheza ngoma ya capoiera.Yanayotokea leo hii ni sawa kabisa kwani vyombo vingi vya habari vimebobea katika ngoma hizi kama za kina celin dion na kuacha vijana nguvu kazi wakijipapasa na kujikumbatia.

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, October 8, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo