Recent Posts

ni barabara iliyo chakwaza lami,na wengi hufumbia miliama,
wakati waanza safari,utamu wapata katika basi,
gafla ashikapo breki dereva,roho huwa juu.
na breki kweli imeshikwa,lakini roho haiko juu.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, October 5, 2009

2 comments

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. Hodi hapa kibarazani nimepita kusalimia lakini sijakuta mwenyewe. ntarudi wakati mwingine.

     
  3. karibu sana Dada.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo