Recent Posts

wanataka kinishikilia,
hawataki kiniacha niende,
wamenikamata mie,
hawataki kiniacha niende.

wanataka tu kinichezea,
wanacheza kama vile hawajui,
nataka nyundo sasa,
niwapige nyundo mpaka chini.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, October 9, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo