Recent Posts

wadhani wasikitika naye asikitika?
wadhani kutokula naye hali?
wadhani kuwa mchafu naye atakuwa mchafu?
wadhani kama hutii naye hato tiwa?
jipe raha mwenyewe.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, November 23, 2009

2 comments

  1. chib anasema:
  2. Na kweli mkuu Nyahbingi Worrior

     
  3. Mkuu Chib binadamu tumebadilika.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo