Recent Posts

Nimewahi kufanya maamuzi kwa wakati uliopo bila kuzingati wakati ujao.Nimewahi kupenda kwa wakati ulipo bila kuzingatia wakati ujao.Je waweza kuishi kwa wakati ujao huku wakati uliopo wakupiga chenga?

Binadamu hependa kuishi kwa wakati ujao bila kujuwa wakati uliopo unamanufuu zaidi.

Ishi leo,vaa leo,kula leo,toa jasho leo,penda leo kwani kesho haijii hata siku moja.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, November 23, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo