Recent Posts

Maisha yanaweza kuwa mabaya au mazuri kulingana na mtazamo wako au na maamuzi yako mwenyewe.Maisha yanaweza kuwa ya kero kama ukiendekeza kero na maisha yanaweza kuwa ya amani kama ikiendekeza amani.Naamini sote tunaamini kujua ya kwamba watu wanakujali na kukupenda licha ya mapungufu uliyonayo.

Maisha yaweza kuwa mwisho wa pua kama hotoweza kuona kama TAI.Binadamu hubadilika kama kinyonga ingawa kinyonga its nature kubadikila kila wakati.Naamini binadamu hubadilika pale anapoona haridhiki na kile alicho nacho kwa wakati huo.Naamini mpenzi waweza kukuacha kwa wakati huo na kurudi tena kwakwo kwa wakati utakapofika.

Ishi upendavyo.Mtu mwingine asiye kukupangia maisha yako.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, November 23, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo