Recent Posts


Nifanyeje nikusahau,
natamani kukusahau,
natamani nisingekufahamu,
najuta kukufahamu,
nilikuthamini,hukunithamini,
sasa nilie na nani?
wengi waniambia ni mapito,
wengi wasema washapitia mapito,
kwangu mgeni,mapito yanikwaza,
natamani ardhi inifukie,
natamani n'pumzike
wapita wawili,wanikumbusha t'kiwa wawili.
mazuri mengi nayakumbuka,
kijasho chanitoka,kukuwaza na kiri.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, November 21, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo