Recent Posts

Maisha,Maisha.
Nimekuwa kimya kwa muda kwasababu akili yangu ilihitaji kupumzika kwa muda.Blog ya Nyahbingi worrior ilianza miaka hiyo na lengo ni moja!KUWARUDISHA WAAFRIKA WOTE AFRIKA,KATIKA MIZIZI YAO,MIZIZI YA BABU ZETU.

Mwenzi wa 10/2009 ulikuwa mwenzi mbaya sana kwangu,mwenzi wa misukosuko,siwezi kuhaidi sito penda tena lakini nimejifunza na toa shukrani zangu za pekee kwa manabii Robert Nesta Marley,Peter Tosh,Burning Spear,Alfa Blody,Senzo,Morgan Heritage na wengine wengi.

Nawashukuru Binadamu ambao walikuwa nami karibu sana ndani ya mwenzi wa 10/2009.

AMANI.

Posted by nyahbingi worrior. Sunday, November 1, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo