Recent Posts

mwenye tiba,
anitubu,
mwenye mawazo,
aniwazue,
nimekwama mwezenu,
nahitaji mapumziko mwezune,
nimeumia sana leo mwezenu.

upendo ni nini?
upendo ni maumivu?
akili yangu imeumia,
sina raha naumia,
nimeumia mwezenu sana leo.

bado yu mawazoni.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, November 4, 2009

2 comments

  1. Serina anasema:
  2. I have an idea of what you are going through. Been there. Pole.

     
  3. Serina,i have been in hell and heaven,its no joke serina.Ilifika wakati i hated myself so much,i hated knowing her.

    Serina thanks.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo