Recent Posts

Sijajikwaa damu kutoka,
moyo wangu umejikwaa pasipo tegemea,
kwa ukarimu wangu,najutia,
nguo kumvua ni wengi,
mengi naambiwa,
kovu lazidi panuka.

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, November 5, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo