Recent Posts

usinikomoe kwasababu nakupenda,
usinitese kwa kuwa hisia zangu zi juu yako,
usinitete kwa kuwa wajuwa sikuteti,
siwezi kukusema mabaya kwa kuwa tulikuwa uchi,
nilijuwa nimepata kumbe nimepatwa.
nimependa na kutendwa n'takuja pendwa zaidi na asiyeona.

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, November 5, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo