Recent Posts

nitadanganya nikisema sikuwazi,
nitaongopa nikikukejeli sikuwazi,
kiangazi kimepita,bado u mawazoni,
masika ya karibia bado u mawazoni,
najitahidi lakini u mawazoni,
iko siku,siku ipo huto kuwepo mawazoni tena.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, November 2, 2009

2 comments

  1. Serina anasema:
  2. Yajayo hatuyajui.

     
  3. Serina,kama kunayajayo basi nitakuwa nimemsahau.

    Hisia zaondoka taratibu.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo