Recent Posts

ushauri ndani ya kichwa chako,
watakushauri bila shari,
shwari na kuwa huru,
tutakutakia heri.

siku ipitayo,mawazo kupunguza,
moyo umeshazoea mawazo kupunguza,
furaha itakujalia pindi huru wa mawazo,
ni fikra potovu,huru wahitajika.

wengi wamezagaa,ni yupi wakumchangua,
wivu waaona,wapitao wawili wafurahi,
wakati wako hujafika.kaza gidamu usongembele,
wakuchekao leo,kesho watalia.

wajigamba umenifanza,
wengi watakufanza,
meno utayasaga,
sitokuwepo kukufariji.

nimeumia vya kutosha,
hisia zangu wazichezea,
wengine wengi wazitamani,
chooni chilingi yadumbukia.

uwamuzi ni nao,
kidonda cha kauka,
kovo litabakia,
daima sitokusikia,
uwamuzi ninao mimi mwenyewe.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, November 2, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo