Recent Posts

Wote tunamwamini Mungu mmoja lakini wakati wa kumwomba Mungu kila mtu anatumia njia yake ya kusali au kuomba.Mimi nadhani matajiri ni wajanja wakati wa kuomba au kusali kwani utawasikia Eeee Mungu wa Mbinguni nakushukuru hichi kidogo ulichonipa naomba ukibariki na kukilinda(nacheka).

Maskini humwambia Mungu,kwa mapenzi yako Baba Uliye Hai naomba unipe Akili na Ujasiri,naomba utangulie huko nakwokwenda siku hii ya leo.

Kama wewe msomaji ni mungu ungemsikiliza nani?

Posted by nyahbingi worrior. Sunday, November 1, 2009

2 comments

  1. Yasinta Ngonyani anasema:
  2. Ahsante kwa kunitembelea kibarazani kwangu. Nakutakia j2 njema . Amina.

     
  3. karibu sana Dada Yasinta.

    amani.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo