Recent Posts

Mimi ni mimi na nitabaki kuwa mimi hata kusipokuchwa.Mpende mtu jinsi alivyo,mthamini mwenzako jinsi alivyo.Haiwezekani kwa kukutana katika mizunguko ya maisha basi ukaamuwa kumbadilisha mwenzako kwa manufaa yako.

Kwanini unadhani kila mmoja wetu ana jina?

Kama basi unapenda niwe jinsi wewe ulivo,nibadilishe kwanza jina na jinsia then tuwe kitu kimoja na tabia moja.Swala la mapenzi lisiwe kisingizio cha kutaka kubadili mwenzio kwa manufaa yako mwenyewe.

Je waamini NDOA ni UTUMWA?

Katika NDOA kuna utumwa kuliko ule wa wakoloni.

Kaka,dada umedhani UMEPATA kumbe UMEPATWA.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, December 7, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo