Recent Posts

Wengi tumeona wakililia ukombozi katika nchi ambazo bado zinatawaliwa huku wakijisahau wao wenyewe wanahitaji UKOMBOZI katika NDOA zao.Ndoa ni kama nchi,katika ndoa kuna uongozi.ushirikiana,upendo,uaminifu na n.k.

Sasa kama huwezi jikomboa katika ndoa yako,je utawezaji kuwakomboa wengine?

Posted by nyahbingi worrior. Monday, December 7, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo