Recent Posts

Unapenda kudhulumiwa?umewahi kudhulimiwa?Unadhani dhuluma ina faida?

Licha ya kuitwa changudoa au malaya nao wana HAKI kama watu wengine tusipende kuwadhulumu na kuwanyanyasa.

Mpe changudoa HAKI yake,tusiwanyanyase kwa sababu ni changuduo.Tenda wema nenda zako.

Posted by nyahbingi worrior. Monday, December 7, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo