Recent Posts

utamaduni wetu waafrika,
khanga kiunoni waafrika,
na maandishi kwa chini mwafrika,
utaishia kunawa tu.

dekio na khanga kiunoni,
mwiko na khanga kiunoni,
utaishia kunawa tu.

kwa bei nafuu kwa waafrika wote,
za patikana nyingi kwa waafrika wote,
maandishi mengi wachaguwa wote,
utaishia kunawa tu.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, December 9, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo