Recent Posts

kubali yaishe,
sio wa kwako yaishe,
vumilia ili yaishe,
utanyang'anywa tu.

wapo macho juju,
unaangalia chini?
atakwambia yote ya mbingu,
ataapa kwa mbingu,
utanyang'anywa tu.

huwezi kupiga loki,
au koki?
utanyang'anywa tu.

unawaza?
ataka kuzaa,
utalea?
ataka kulea,
unamali?
anataka mali,
utanyang'anywa tu.

vuta,
mvutane,
vua,
akuvue,
hakuna wa mtu,
hakuna utu,
ni unyama tu.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, December 9, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo