Recent Posts

nimekaa nje asubuhi wakati juwa lachomoza,gafla naona ndege wanapita angani na milio yao yakumbushio mbali na kunipa matumaini.Milio yao ni mizuri yafunguwa masikio yangu na akili yangu mpaka natamani nami niruke kama wao.Namwangali mama naona mama na jembe lake begani moja kwa moja shambani kuwatafutia watoto wake chakula.Najuwa mama unajitahidi sana.

nimekaa jioni wakati juwa linazama,gafla naona wale ndege wanapita angani na milio yao yakumbushio mbali na kunipa matumaini.Milio yao ni mizuri yafunguwa masikio yangu na akili yangu mpaka natamani nami niruke kama wao.Namwangalia mama namwona mama na jembe begani anarudi toka shambani huku nami nimeshindwa hata kuwatafutia wadogo zangu mkate mezani.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, December 11, 2009

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo