Hivi mwafrika anajihusisha kivipi na hii siku ya krismasi?
krismasi ni nini?au ni kitu gani?
upambaji wa nyumba na miti ya krismasi ni tamaduni zetu sisi waafrika?
Je ni kweli huyo yesu alizaliwa siku ya krismasi?
nini kiko au kimefichwa kuhusu krismasi?
je watoto wetu wanaeelewa hii siku ya krismasi ina manufaa gani katika maisha yao?
kwanini hatuwaambii watoto wetu kuhusu hii siku ya krismasi?
Nabii Peter tosh alisema
you can fool people some times,but not all the time and now i see the light.
Selassi.
Thursday, December 10, 2009
Kuna mtu alikuwa anauliza mavazi halisi ya mwafrika ni yapi!
Akajaribu kutetea vitop kwamba viliigwa kutoka Afrika, maana waafrika walikuwa hawavai chochote juu ya kiuno. Sehemu nyingine sikumbuki alisemaje vile!!