Recent Posts


Posted by nyahbingi worrior. Sunday, January 31, 2010

2 comments

 1. Yasinta Ngonyani anasema:
 2. naomba kukuuliza kakangu kuna makala uliiweka hapa jpilikwa nini umeitoa?

   
 3. Dada Yasinta,

  Kweli kuna makala nilibadnika hapa kijiweni lakini mtazamo niliokuwa nao mimi sio mtazamo wengi waliokuwanao kwani nilipata baadhi ya mail wengi au wachache wakiomba niondoe makala hiyo.

  ile makala niliipost kama changamoto kwa vijana wengi wanaopenda au wanandoto ya kuoa au kuolewa huko ughaibuni.

  Katika ile makala nia haikuwa ubaguzi au chuki bali mwelekeo wa vijana kama mimi.

  Kwa hiyo Dada Yasinta sikuwa na jinsi bali kuondoa makala ile.

  Ahsante kwa kuuliza.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo