ukweli sometimes unaundhi kiasi lakini baada ya siku unasahau bila kujuwa umesahau.Makala huandikwa na katika makala hizo baadhi zaweza kunigusa kwa njia moja au ingene.
Morgan Heritage(familia ya Manabii WEUSI(BLACK) wanasema hivi katika a man is still a man,
"A man is still a man whether him wear jacket and tie, or walk barefoot.The only difference is whether him good or evil" Morgan Heritage.
Nilipata muda wa kusikiliza interview moja ya JahPetes,Una,Lukes,Gramps.Jahpetes anasema ingawa walilelewa huko marekani lakini wakiwa nyumbani walisali na kula katika imani yao kuu,hawakuiga mambo ya huko kwasababu wako huko.
Swali.
je wewe ambaye uko huko unatekeleza yale maadili yenu au kwa lugha nyepesi Mila na Desturi?Je unaweza kutambika ukiwa huko Ughaibuni?
Mtazamo.
Kwa kuweka makala hapa si kanakwamba nabaguwa au naeneza ubaguzi au chuki.Hizi ni changamoto ambazo lazima tukutane nazo.
Swali.
Unadhani mtoto ambaye kalelewa ughaibuni atazijua mila na desturi zake kama wazazi wenyewe wamelewa na mambo ya ugenini?
Recent Posts
Tuesday, February 2, 2010
0 comments