Recent Posts

Hili swali huwa najiuliza kila siku,why poor people are hungry again?

unajuwa kuna tofauti kati ya watu na binadamu au kati ya mtu na bin adamu.

Kwa mtazamo wangu watu au mtu ni kiumbe ambacho kisichokuwa na HISIA wala HOFU..
laikini BIN ADAM ni kiumbe ambacho kina HISIA,HURUMA,HOFU na KUMCHA MWENYEZI MUNGU.

sasa mimi na wewe kati ya mtu au bin adamu tuna belong wapi?Huwezi kujibu kwa haraka.(TAFAKARI)

Mtu anaweza kuwa Bin Adamu kwa mwanamke kwasababu anapenda kimapenzi na mwanaume anaweza kuwa bin adamu kwa mwanamke kwa ajili ya mapenzi tu.Wazazi nao wanaweza kuwa watu au binadamu kwa watoto wao na watoto wanaweza kuwa watu au Bin Adam.Jirani naye anaweza kuwa Bin Adamu au mtu kwa jirani mwezie.

We all want changes in Afrika by Africans kwani its the only Human Race God knows in this world and just to note nazungumzia Africans na sio HALF CAST.

And if we Africans want changes,we should all come home as soon as possible.

Swali.

How can you bring change in Africa while you are miles away from home?

na kama sitaki kurudi nyumbani basi nisizungumzie Afrika at all.Posted by nyahbingi worrior. Tuesday, February 2, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo