Recent Posts

Naamini sio mbali Afrika ya sasa itajulikana kama The United States of Africa kwa vitendo.Itakuwa hivo kwani uwezo na nia tunayo na kwa asilimia mia moja tunaweza.Najuwa wengi tumesikia na kuchukulia kama wimbo wa kawaida.

Kama nikija pata nafasi ya ushauri kuhusu United States of Africa nitasema hivi.

ili tuweze kushirikiana na nchi za ughaibuni,itabidi nao watufanyie jambo moja na ninaamini jambo lenyewe si gumu.

Tuatakubaliana hivi..

Waafrika wote waishio ughaibuni warudi Afrika(united states of Africa) kwa hiari na wakigoma basi nguvu itumike kuwarudisha nyumbani.

Labda utauliza kwanini.

Kwanza naamini huko mliko mmeishi vya kutosha,ujuzi mmepata basi ni wakati wa kutumia ujuzi wenu katika United States of Africa ili kuikuza katika nyanja tofauti tofauti.

Ndugu zanguni,utabiri wa Nabii Marcus Garvey utatimia na ishara kuu itakuwa the black starliner.

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, February 3, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo