Recent Posts

Naamini ni vema kukumbuka uwezo wa rafiki yako,leo mimi nimekumbuka kupita pale Kwa Serina licha ya Serina kuadimika kwa muda sasa.Popote ulipo Serina pamoja na familia na ndugu ninakutakia kila la heri,Jah awaongozi pindi mwingiapo na mtokapo popote pale.

Basi tupate muda wa kutafakari hili shairi la gwiji wa magwiji wa tunzo za maguni.


Moyo wangu waniuma…
Kwa nini si mwajua?
La sivyo nitawatambulia…
Mda wake utakapowadia.
Wadau sijawadharau…
Ila mengi nin’taka sahau.
Nitarudi ikishatulia…
Maumivu yananipasua.


Kwa mashairi au maguni zaidi bofya hapa.
http://serinaserina.wordpress.com/page/2/

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, February 3, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo