Recent Posts

Jinsi tunandikavyo katika blogu zetu unadhani watoto wetu watafikiri nini wakuwapo wakubwa na kukuta blogu bado ziko hewani?

watoto wetu wakuwapo na kukuta ile kurasa ya JUMUWATA watasema nini?......simply TULISHINDWA huku twalikuwa tukijidai na blogu.

Kati ya maswali mengi kuna hili moja tu.Je kutakuwepo na BLOGS of our FATHERS?

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, January 9, 2010

4 comments

 1. Yasinta Ngonyani anasema:
 2. Usikate tamaa ni mapema mno zitakuwepo tu:-)

   
 3. Da Yasinta kama nikukata tamaa ningekuwa nimekataa tamaa miaka mingi sana,najaribu kuleta mwamko ili JUMUWATA ifufuke.

   
 4. Yasinta Ngonyani anasema:
 5. Nimekuelewa kakangu na itaamka tu usichoka kuleta mkazo-

   
 6. Mkazo utaletwa na wenye moyo.Wenye moyo ni mimi na wewe.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo