Recent Posts

simon kitururu,mzee wa rudugai nami.

Dada Mija Sayi na mimi.

Ndesanjo,mzee wa utakapojua hujui na mzee wa Tanzania Fotobaraza.


Posted by nyahbingi worrior. Saturday, January 9, 2010

6 comments

 1. Yasinta Ngonyani anasema:
 2. Ni safi kurudi nyuma na kuangalia taswira za zamani. Da Mija kumbe ndo unavyoonekana:-)

   
 3. Mija Shija Sayi anasema:
 4. Usinambie Yasinta hujawahi kuniona in full, Luihamu mimi bado nina dukuduku kuhusu kupandisha Birthday zetu na za wapendwa wetu bloguni, maisha si ni ku-cheer pia jamani? au?

   
 5. Yasinta Ngonyani anasema:
 6. Da Mija! ndiyo sijawahi kukuona umbo lote. Hapa sijaelewa una maana gani "una dukuduku kuhusu kuoandisha birthday etu na za wapendwa wetu bloguni" Fafanua dada.

   
 7. Mija Shija Sayi anasema:
 8. Yasinta Kwenye shairi la 'we were bloggers' ubeti wa kwanza hebu soma mwenyewe, Rasta Luihamu haoni umuhimu wa kupandisha(kuposti) bloguni taarifa za birthday, eti ni haki kweli hiyo?

   
 9. Yasinta Ngonyani anasema:
 10. Oh! sasa nimekuelewa nimeona nami pia nimeshangaa sana. Kweli hii sio haki kwa kweli

   
 11. Da Mija na Da Yasinta neno BIRTHDAY lina maana nyingi sana na mwonekano wa habari tunazo zichapisha katika blogu zetu.

  BIRTHDAY si kwa maana ya siku ya kuzaliwa tu bali naweza kusema kuanguka kwa jumuwata pia inaweza kuwa BIRTHDAY.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo