Recent Posts


March 25 2007,wanablogu walichangia kuhusu NEMBO ya JUMUWATA.Nembo nyingi sana zilitumwa kwa msimamizi au mpokeaje ambaye alikuwa Dada Mija Sayi http://damija.blogspot.com/ .
July 1 2007,nembo bora ilipatikana ambayo iliindwa na Mkuu Gerald Shuma.
Ndugu wanablogu mnaona tulikotoka?tulijitolea kushirikiana na kuwa na msimamo sio kama leo naweza sema ni wanablogu wa kizazi kipya kama vile kizazi kipya cha bongo fleva.
Ndugu wanablogu wakati huu na mwanzo wa mwaka huu tushirikiane kuifufua JUMUWATA,tusikubali JUMUWATA ife.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, January 9, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo