Usinambie Yasinta hujawahi kuniona in full, Luihamu mimi bado nina dukuduku kuhusu kupandisha Birthday zetu na za wapendwa wetu bloguni, maisha si ni ku-cheer pia jamani? au?
Da Mija! ndiyo sijawahi kukuona umbo lote. Hapa sijaelewa una maana gani "una dukuduku kuhusu kuoandisha birthday etu na za wapendwa wetu bloguni" Fafanua dada.
Yasinta Kwenye shairi la 'we were bloggers' ubeti wa kwanza hebu soma mwenyewe, Rasta Luihamu haoni umuhimu wa kupandisha(kuposti) bloguni taarifa za birthday, eti ni haki kweli hiyo?
Ni safi kurudi nyuma na kuangalia taswira za zamani. Da Mija kumbe ndo unavyoonekana:-)
Usinambie Yasinta hujawahi kuniona in full, Luihamu mimi bado nina dukuduku kuhusu kupandisha Birthday zetu na za wapendwa wetu bloguni, maisha si ni ku-cheer pia jamani? au?
Da Mija! ndiyo sijawahi kukuona umbo lote. Hapa sijaelewa una maana gani "una dukuduku kuhusu kuoandisha birthday etu na za wapendwa wetu bloguni" Fafanua dada.
Yasinta Kwenye shairi la 'we were bloggers' ubeti wa kwanza hebu soma mwenyewe, Rasta Luihamu haoni umuhimu wa kupandisha(kuposti) bloguni taarifa za birthday, eti ni haki kweli hiyo?
Oh! sasa nimekuelewa nimeona nami pia nimeshangaa sana. Kweli hii sio haki kwa kweli
Da Mija na Da Yasinta neno BIRTHDAY lina maana nyingi sana na mwonekano wa habari tunazo zichapisha katika blogu zetu.
BIRTHDAY si kwa maana ya siku ya kuzaliwa tu bali naweza kusema kuanguka kwa jumuwata pia inaweza kuwa BIRTHDAY.