Recent Postspichahttp://www.dailymail.co.uk/femail/article-1245009/The-real-Lion-King-Why-I-quit-rat-race-live-African-bush.html

Heri mara mia moja kuishi na wanyama au mnyama kuliko kuishi na binadamu.Wengi tunamazoea ya kuogopa wanyama na kukimbilia alipo binadamu mwenza.

Hakuna kiumbe kinachotisha hapa duniani kama binadamu.Atacheka,kula,kulia nawe lakini hujui afikiri nini kuhusu wewe.

be careful.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, January 22, 2010

3 comments

 1. unadhani kuna ubaya juu ya kujua anafikiri nini kuhusu wewe?? mbona Kristo alikaa na watu aliojua wanafikiri vibaya kuhusu yeye? au waziri mkuu wa zamani wa Paksatan alikaa na watu aliojua wanapanga kummaliza???

  dont worry!

   
 2. SIMON KITURURU anasema:
 3. Hakuna kiumbe rahisi kuishi nacho kuliko Binadamu kwa kuwa hakuna kipya sana ambacho Binadamu mmoja aweza kumficha binadamu mwingine kwa kuwa misingi ya Binadamu ni ileile kwa Binadamu WOTE.

  Sina uhakika sana na binadamu ashindwaye kumuelewa binadamu mwenzake mwenye ubongo na hisia kama zake akidai anamuelewa zaidi Mbuzi.:-(


  Si wabishii lakini wadaio kumuelewa zaidi Simba au Chura kuliko Mtu!:-(

   
 4. Kamala...ili neno litimiye ilibidi akae kimya.

  Simon.....Kweli?

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo