Recent Postswanikandamiza katikati ya mebega yenu,
wagombania mlo kuliko mimi niliyepungukiwa,
wanifinyanga katika ya misuli yenu,
akili zenu mwaziacha wapi?

eti mwajiita wanaume,
eti mwajidai kukatwa gozi,
hamwoni mwa tuumizi?
sote ndugu,ndugu wa baba mmoja,
mbona watukandamiza?

si akili tena ya fikiri,
tumbo la fikiri,
tumbo lakufanya kugeuka kuwa mnyama.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, January 22, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo