Recent Posts

najuwa mwateseka,
licha ya kuwateka na kuwa watumwa,
janga limetokea,niko nanyi kila siku.

tuwe na ndugu zetu katika kipindi hiki kigumu,
vyombo vya habari,nguvu zielekwezwe Haiti,
kuliko kuweka habari za aina ya mavazi,na picha zenu za starehe huko ughaibuni,
mwashangaza sana tena sana.

Hongera Rais wa Senagali,kwa ardhi kutowa
kuliko hao wanao beba mzigo begani.

Posted by nyahbingi worrior. Friday, January 22, 2010

2 comments

  1. mambo ya dunia bwana!!!!

     
  2. Kamala..si mambo ya dunia bali mambo ya walimwengu.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo