Recent Posts

Miaka hiyo wakati wanablogu tulikuwa tunajadili mada mbalimbali kuhusu kuwepo na jumuiya ya wanablogu kutoka Tanzania.Siku hizo tulikuwa tunaumiza vichwa,mada moja ilikuwa inachangiwa maoni siku 7(wiki moja)sio kama leo mwaweka katika blogu zenu picha za ulaya na magari au barafu,sisi tulikuwa tunaumiza vichwa hadi kufikia kuamuwa kuacha kublogu.

Mada ya kwanza kabisa ilikuwa kutafuta jina la JUMUIYA YETU.soma hapahttp://blogutanzania.blogspot.com/2007/01/utangulizi.html#comments .Mkuu Simon Kiururu( http://simon-kitururu.blogspot.com/) ndiye mgunduzi wa jina la jumuiya yetu yani JUMUIYA YA WANABLOGU TANZANIA(JUMUWATA).Jina lilipitishwa bila kupinga,na mwelekeo kuanza kuonekana kwani hadi leo limebaki jina tu.

Je wajuwa nani mvumbuzi wa kurasa ya jumuwata?

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, January 7, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo