Recent Posts

N.B. HATULAUMIANI NDUGU WANABLOGU WENZANGU BALI NI NJIA MOJA WAPO YA KUIMARISHA JUMUWATA.

Wengi wanamwita Mtakatifu Simon Kitururu http://simon-kitururu.blogspot.com/ambaye alichaguliwa kuwa katibu wa JUMUWATA tarehe 7/3/2007 na aliwania kugombea nafasi hiyo tarehe 15/may/2007.Tarehe 16 March 2009,aliaidi kupandisha habari mpya hapa http://blogutanzania.blogspot.com/ lakini kwasababu ambazo hajaweza kutueleza hatujui nini kilimsibu na kushindwa kutuletea habari mpya.

Ndugu Katibu,nini kilicho kwamisha JUMUWATA?

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, January 6, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo