Recent Posts

Kwanza,njia moja wapo ya kuimarisha JUMUWATA ni kukubali kupokea mawazo kutoka kwa jumuiya zingine kama vile http://www.kenyaunlimited.com/ .Naamini asilimia mika moja tukiweza kushirikiana na hawa ndugu zetu basi mchangowa utakuwa wa muhimu sana katika kuifufuwa jumuiya yetu(JUMUWATA)

Ndugu wanablogu wenzangu,hatuoni kama itakuwa ni furaha wanablogu wawepo ndani ya jumuiya yao?

Posted by nyahbingi worrior. Wednesday, January 6, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo