Recent Posts


this is the reality of life.siku ya siku nahishia hapa,haijalishi ulikuwa nani.

Posted by nyahbingi worrior. Saturday, February 6, 2010

4 comments

 1. chib anasema:
 2. Mkuu nashukuru kwa ziara yako kwenye ukumbi wetu. Unakaribishwa sana.
  Kuhusu post hii, mimi nasema wote ni hapo, labda bahati mbaya ukipotelea angani ndio unaweza usifike hapo, maana watu wanakuwa na interest ya kisanduku cheusi tu,

   
 3. Swali ninalowaza mara kwa mara ni kuwa watu wanaogopa kufa ama hawataki kujua kuwa wanakufa peke yao?
  Hivi ni kweli kuwa siku ya mwisho ikiwa ni moja kwetu sote kuna atakayeiogopa? Ama kwa kuwa tutakufa kwa mkupuo na sitamuacha Worrior "akifaidi niliyoacha" basi tunaona sawa?
  Mie nawaza tuuuu.
  Nakumbuka kusoma mahala mtu akisema "It's not that I'm afraid to die, I just don't want to be there when it happens."
  Blessings

   
 4. Koero Mkundi anasema:
 5. Nimewahi kusimuliwa kuwa zamani wafalme wakifa huzikwa na wake zao wote, sasa sijui kama huo utaratibu ungelikuwepo hadi leo ingekuwaje?

   
 6. Kaka Kamala kapatia kabisa katika makala yake ya reincarnation.Kweli kabisa katika hiyo picha hapo si mwisho bali ni mwanzo wa dira ingine tena.

  Kinachobaki hapo ni mwili tu,lakini roho inazaliwa katika kiumbe kingene tena kwa upya.

  Kwa hiyo kama tunadhani hapo ndio mwisho tumekosea sana.

  Ashateni kwa maoni yenu.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo