Recent Posts

Huu ni mfano kati ya mifano mingi ambayo huwa napenda sana kupingana nayo.Swala la Jonn Kerry kuvuliwa ukapteni unatuhusu sisi?Vijana,nguvu kazi tumekaa vijiweni na kubishana swala la Jonny Terry?kweli kabisa?tunapoteza nguvu na mawazo yetu kwa ukapteni wa timu ya ughaibuni?

Badala vijana,nguvu kazi kukaa na kujadili maswala ya mashamba au mbegu bora za kupanda katika msimu huu,sisi tunajadili ukapteni?

Posted by nyahbingi worrior. Friday, February 5, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo