Recent Posts

Siku ya Nabii Robert,ni siku ya kutafakari kuhusu JIRANI yako.Tumekuwa na tabia ya kujilimbikizia raha za dunia,tumekuwa tukitamani kwenda mbinguni lakini hakuna anayetaka kufa.Unafki umekithiri ndani yetu,tumekuwa tukitakiana heri lakini moyoni twalalamika na kuoneana gere.

NDIO...

Kesho ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa NABII RObert.Wengi wanazidi kusokota nywele,wengi wanazidi kusikiliza tungo za nabii lakini hatutendi yale anayoubiri Nabii katika tungo zake.

Kwa wafanyabiashara za disco...

hii sio siku ya kutengeneza hela na iwapo tutaadhimisha hii siku,basi kipato ambacho kitapatikana kipelekwe kwa WAJANE na YATIMA na sio kujilimbikizia mali.

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, February 4, 2010

0 comments

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo