Recent Posts

Miaka yazidi kwenda mbio sana huku nako umri ukinipunga mkono.Napenda kuoa,kuwa na mke MWAFRIKA mwenye kuheshimu mila na desturi za Mwafrika. Mwanamke ambaye kapitia tohara nitampate wapi?Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali na jibu sijapata,Je ni mwanamke yupi wa leo atakubali kuolewa nami na kukubali JEMBE kuwa rafiki yake wa karibu kuliko hata mimi?

Miaka yazidi kwenda,umri nao wanipungia mkono,bado simtafuti malkia kwani naamini Jah atamleta na nia ya kumleta kwani atajuwa Jembe ni muhimu kwetu.

Posted by nyahbingi worrior. Thursday, February 4, 2010

5 comments

 1. Mija Shija Sayi anasema:
 2. Muulize Ng'wanambiti jinsi ya kumpata mke aliyepitia tohara maana anapanga kumpeleka mjukuu wake kijijini akakeketwe.

   
 3. Foundation anasema:
 4. Eee! Ninako kabinti kadogodogo njoo tuzungumze....lol

  lakini unazo ng'ombe? Manake
  - ni keupe ng'ombe 50
  - kana guu la bia ng'ombe 20
  - katafika kidato ng'ombe 30

  Angalizo: bei ya ng'ombe si kama ya usukumani tafadhali....lol

  Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!

   
 5. Yasinta Ngonyani anasema:
 6. Siku itakuja utamoata wako malkia,
  Na mtaishi maisha ya futaha ,
  Haraka hara haina baraka,
  Polepole ni mwendo kuwa na subira
  Siku yyako itakuja na utafuhia haya maisha
  Hamoja na mwenza wako (malkia ) wako
  Upendo daima.


  Chacha:-(

   
 7. Mija Shija Sayi anasema:
 8. Sikujua Yasinta ni mshairi safi kiasi hiki!!..

  @Luihamu unataka mambo ya kimila ndo hayo sasa, ng'ombe mia.

   
 9. Duh!!!!!

  Chacha ngoja niunde kamati ya uchunguzi kwanza.

  Da yasinta ahsante kwa tungo yako.

  Da Mija,bado natafakari.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo