Recent Posts

Kulingana na maandiko,yanasema hivi,mwanamke ni kiumbe dhaifu kwa hiyo ishi naye kwa umakini na busara.

Nimeduri Dar,nimepunguwa sana kimwili,maswali ni mengi,wengi wanadhani nilikuwa nimelazwa,wengi katika macho yao wanadhani nimeambukizwa lakini hakuna anayenijua bali mimi najijuwa.Waza unalotaka kuwaza.

niliwahi kusema hakuna kiumbe hatari kama binadamu.

wewe unadhani una amani?

Posted by nyahbingi worrior. Tuesday, May 25, 2010

3 comments

 1. Yasinta Ngonyani anasema:
 2. Binadamu ni binadamu! Amani ipo kama una amini!

   
 3. mwanamke ni kiumbe chenye nguvu kukiita dhaifu ni kujidanganya. yawezekana umekonda kwa sababu ya kukientertain sana au kukifikiria kilichokutema hicho kiumbe cha kike.

  ila daima mwanamke yuko juu

   
 4. Mija Shija Sayi anasema:
 5. Nyahbingi pole kwa maneno yanayokuandama, vipi kama una vipicha tuwekee basi tukuone mpendwa wetu.

   

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo