Recent Posts

BREAKING NEWS
happy birthday bado zashamiri.

Habari motomoto,habari zinazozidi kujaza vichwa vya blogu kadhaa kwa kutowa heri ya siku ya kuzaliwa zinaongezeka.

Habari ni nini?Labda niulize kwa mara ya pili BLOGU nini? AU ingekuwa vema tuwe na kurasa ya kutuma siku za wanablogu kuzaliwa.

Posted by nyahbingi worrior. Tuesday, May 25, 2010

2 comments

  1. Labda ni kweli...lol

     
  2. na labda si kweli.

     

Post a Comment

Followers

Popular Posts

Luihamu Ringo